Faida Ama Uzuri wa Kuoa Single Mothers na Wadada Over 35 years soma hapa
Ndoa
nyingi zina changamoto lakini nimegundua ukioa single mother au dada
ambae ni 35+ hawa watu mara nyingi huwa ni wife materials ukilinganisha
na hawa wenye age ya 20-35.
*Hawa watu wana commitment sana katika ndoa zao.
*Wanakuwa washapitia changamoto nyingi zinazohusisha mahusiano so huwa hawasumbui.
*Wengi wamekomaa kiakili na wanajua jinsi ya kuhandle mume na familia kwa ujumla
wana mazuri mengi.
Kama hujaoa ukipata watu wa namna hii usipoteze fursa.
VIDEO MPYA YA RICH MAVOKO AMBAYO IMEKUWA GUMZO MTANDAONI KAMA HUJAIONA BOFYA HAPA

0 comments: