LAANA KUBWA SANA : : HAYA NDIO MAISHA YA WANACHUO KWA SASA





Wanafunzi wakijipiga picha Bafuni Hostel


Kwakweli maisha ya chuoni ni experience tosha, kuna kila aina ya mambo mi naamini kama umepitia maisha ya chuo, umeshakaa hostel basi utakuwa umejifunza mengi sana, na hakuna jipya baada ya hapo. Wapo watu wanaokuja chuoni wakiwa wapole na watiifu, lakini wape muda tu kidogo utaona mara tayari ana boyfriend mara tayari nae ameshaanza kwenda club. 

Mambo ni mengi sana Vyuoni, kama mpenzi wako ameenda chuoni ujue kuna kazi hapo ndugu yangu muombee tu MUNGU amlinde, vishawishi ni vingi na kuepukika ni ngumu sana inahitaji ujasiri mno. YABIDI KUWA MAKINI TU

0 comments:

Copyright © 2013. MAPYATZBLOG - All Rights Reserved
Customized by: MAPYATZBLOG | Powered by: http://bongoswagzs.blogspot.com/
Designed by: http://bongoswagzs.blogspot.com//