MAPENZI BANA UNAAMBIWA WEMA SEPETU NA BABA HALAFU DIAMOND NA MAMA
Tattoo ya Diamond Platinum ikionekana kwenye mkono wake wa kushoto.Mastaa hawa wameonyesha kuwa na mapenzi na wazazi wao ambapo mwandishi wetu amebaini Diamond ameandika jina la mama yake mkononi huku Wema akiandika jina la baba yake mkononi pia.
Wote wamefanya hivyo kwenye mikono yao ya
kushoto sambamba na uwepo wa tatoo nyingine ambapo Wema ameandika ‘Daddy
Sepetu’ na Diamond akaandika Sandra…’
Tattoo ya Wema Sepetu ikionekana kwenye mkono wake wa kushoto.
0 comments: