Jas pamoja na Ness
ambao ni mapacha waliweza kuteketeza ndoa ya Rapper Wiz khlaifa pamoja
na reality star Amber Rose ambapo mtandao wa TMZ uliripoti kwa Amber
alidai mapacha hao wanatoka na mumewe na yeye Amber kuomba Talaka kwa
mumewe sasa nimekukusanyia baadhi ya picha za hawa watoto wa kike wazuri
waliofanikiwa kumteka rapper Wiz khalifa.... |
0 comments: