SHILOLE NA NUH MZIWANDA WANASWA HUKO DODOMA WAKIWA NYUMA YA CHOO CHA UKUMBI WA MATEI LOUNGE, TAZAMA WALICHOKUWA WANAKIFANYA


Msanii mkali wa Bongo Fleva @Nuh Mziwanda akiwa bebe wake pande za Dodoma kwenye ukumbi wa Mtei Lounge waliswa na Camera za Paparazi wetu aliyekuwa Maeneo hayo, Inasemekana Shilole alikuwa anaenda msalani na kumwomba kipenzi chake amsindikize baada ya kutoka huko walizama chochoro na kuanza kunyonyana ndimi kwa hisia kali za mahaba yani zile za kipombe pombe
CDT: MTOTO WA MAMA JENI

0 comments:

Copyright © 2013. MAPYATZBLOG - All Rights Reserved
Customized by: MAPYATZBLOG | Powered by: http://bongoswagzs.blogspot.com/
Designed by: http://bongoswagzs.blogspot.com//