TEAM KIBA NA TEAM DIAMOND....KAMA MLIMISS HII INAWAHUSU SANA!
Kuna
mashabiki vindakindaki ukiwachokoza kwenye mada hiyo, wanaweza kurusha
ngumi kwa kubishana. Wasanii hao wawili wameweza kutengeneza Simba na
Yanga yao. Ni jambo jema sana kibiashara na maendeleo ya muziki.
Ukweli ni kwamba wote ni bora lakini nani
zaidi? Kila mmoja ana ufundi wake, ni upi? Hapa nawachambua Ali Kiba na
Diamond katika muktadha mpana ili kuonesha nani anashika nafasi ipi
kwenye medani ya muziki Tanzania, Afrika na dunia kwa jumla.
Lionel Messi ni mshambuliaji wa Klabu ya
Barcelona ya Hispania, vilevile Timu ya Taifa ya Argentina. Cristiano
Ronaldo anakipiga Real Madrid na Timu ya Taifa ya Ureno. Kila mmoja ana
ubora wake. Ni mafundi uwanjani na ni tegemeo la timu zao na ulimwengu
mzima wa wapenda soka.
SOMA ZAIDI>>.
0 comments: