BOSS AUMBUKA AKIWA ANA KULA URODA NA MFANYAKAZI WAKE
Jamaa
huyu ni mume wa mtu mwenye watoto na inaonekana mwanamke kwenye picha
hapo ni mmoja kati ya mabosi zake kazini, ni kama bosi na mfanyakazi
wake sehemu yoyote ya kazi.
Sijui
ilikuwaje ila inavyoonekana ni mara baada ya tendo hilo la kijinga
mwanaume huyu aliamua kuzihifadhi picha walizokuwa wakipigana kwenye
simu, kisha baadae akaja kuzionyesha kwa rafiki zake na kuzituma kwa
baadhi yao akiwafahamisha kuwa alifanya map3nz! na bosi wake (pichani
chini) na ndivyo ambapo picha hizo zilipoweza kusambaa kwenye simu za
watu mpaka kufika kwa wafanyakazi wa ofisi yao na kwa sasa wote wawili
wamesimamishwa kazi.
Binafsi
sielewi ni kwa namna gani zimeingia kwenye mitandao ya Ghana ambapo
wawili hawa wanatokea ila ukweli ni kwamba si huko tu bali hadi hapa
bongo zimetufikia.
Tuwe makini na aina ya wap3nz! tunaotaka kuwa nao...
0 comments: