MAZISHI YA WATU 15 KABURI MOJA HUKO KIGOMA! NI WALE WALIOPATA AJALI YA MELI!
Miili 15
ya raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ambao walifariki
katika ajali ya meli kwenye Mkoa wa Kalemie nchini humo ilipatikana
Kigoma na mazishi yamefanyika ambapo kwa upande wa Serikali Congo
kulikuwa na muwakilishi ambaye ni Balozi mdogo Congo, Riki Molema.
Naibu
Balozi Mdogo wa ubalozi wa DRC mkoani Kigoma Riki Molema akizungumza na
wananchi wa kijiji cha kalilani wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma wakati wa
mazishi ya watu hao.
Mwenyekiti wa kijiji cha Kalilani, Songoro Saidi akiweka mchanga
akiweka mchanga kwenye kaburi la raia wa 15 Congo waliozikwa Kigoma.
Balozi mdogo wa ubalozi wa DRC, Riki Molema akiweka mchanga kwenye kaburi hilo.
0 comments: