STAA WA BONGO MUVI PATCHO MWAMBA AFUMANIWA NA MKE WA MTU ALA KICHAPO CHA MBWA MWIZI..USO NYAN'GA NYAN'GA
Inasemekana kuwa mwigizaji
na mwanamuziki wa Dansi Patcho Mwamba, amepewa kipigo cha nguvu hadi
kumvimbisha uso kama unavyomuona hapo juu, baada ya kufumaniwa na mke wa
mtu.
Habari hizi zinaenea kwa
kasi zaidi mtandaoni kama moto wa vifuu…hakuna taarifa rasmi juu ya
kinanani ,na wapi hasa tukilo hilimetokea,japokuwa inasemekanai ni siku
ya krismas (jana) .Hadi sasa sio Patcho mwenyewe au watu wake wakaribu
hawajajitokeza kukanusha taarifa hizi
0 comments: