WANASANA WAKIFANYA MAPENZI, KUMBE MWANAMKE NI MKE WA MTU
Kama Bado Hujajiunga Nasi, Unaweza Kujiunga Hapa Nikutumie Habari Moja Kwa Moja ..Bofya HAPA ULIKE PAGE YETU!..

Jana
Bunju B jijini Dar es salaam iliingia katika vichwa vya habari kila
kona kutokana na kutokea kwa matukio mawili yaliyovuta mkusanyiko wa
watu na minong'ono kila kona , baada ya lile tukio la gari aina ya Land
Cruiser VX kuchomwa moto na wananchi baada ya kusababisha ajali na kuua
watu watatu walio kuwa kwenye boda boda wamebebwa kama mshikaki.
Basi
unaambiwa,jioni yake palitokea tukio la ajabu ambapo watu wawili
mwanaume na mwanamke walio kuwa wakifanya mapenzi gesti kunasana na
kushindwa kuachana mpaka walipoanza kupiga kelele na mhudumu na watu wengine kulazimika kuvunja mlango wa gesti na kuita polisi.
Polisi walikuja kuwachukua na Kuwapeleka kituo cha polisi cha Bunju Usalama huku wakiwa bado wamenasana.
Inasemekana
mwanamke ni mke wa mtu hivyo mpaka inafika saa moja ssiku shuhuda wetu
alipoondoka eneo la tukio inasemekana polisi walikuwa wanamsubiri
mwenye mke ili awanasue.
Pia kulikuwa na taarifa kuwa jamaa mwenye mke anadai milioni Sitini ili awanasue...
0 comments: