BREAKING NEWS: TAKUKURU IMEWAFIKISHA MAHAKAMANI WATUHUMIWA WAWILI kwa kupokea rushwa katika Akaunti ya Escrow


HABARI Zilizotufikia hivi punde:Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU nchini imewafikisha mahakamani watuhumiwa wawili kwa tuhuma za kupokea rushwa katika Akaunti ya Tegeta Escrow katika mahakama Kisutu jijini Dar es Salaam,

Waliofikishwa mahakamani hii leo ni Teophil John ambaye ni Mhandisi wa Wizara ya Nishati na Madini na Rugonzibwa Teophili ambaye ni Afisa wa Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA).

Endelea kufuatilia habari zetu hapa paparazi huru Kujua kwa kina.


0 comments:

Copyright © 2013. MAPYATZBLOG - All Rights Reserved
Customized by: MAPYATZBLOG | Powered by: http://bongoswagzs.blogspot.com/
Designed by: http://bongoswagzs.blogspot.com//