Jina la Kajala Kuonekana Kwenye Soda za Kopo za Coca-Cola
Mwigizaji
wa filamu mwenye sura ya upole na umbo la Kiafrika, Kajala Masanja ni
moja kati ya watu ambao majina yao yataonekana kwenye makopo mapya ya
kinywaji cha Coca-cola.
Leo
mchana, wawakilishi wa coca-cola walimtembelea Kajala nyumbani kwake na
kumpatia zawaidi ya kinywaji hicho kikiwa kwenye chupa yenye jina lake.
Endelea kuwa nasi kujua kinanani wengine wamebahatika kwenye hili.
0 comments: