NOOOOMAA SANAAA..Mchumba wa Nay wa Mitego apost picha za utata mtandaoni !!!



Mchumba wa rapper Nay wa Mitego, Siwema Edson aka Mama Curtis amepost picha za mahaba akiwa kitandani na mzazi mwenzie huyo.
Kupitia Instagram, Wema alipost picha hizo na kuandika: Know Yourself, And Know Your Opponent. They Are Never As Strong As You Think, And Never As Weak Either…..#usiku mwema!!


0 comments:

Copyright © 2013. MAPYATZBLOG - All Rights Reserved
Customized by: MAPYATZBLOG | Powered by: http://bongoswagzs.blogspot.com/
Designed by: http://bongoswagzs.blogspot.com//