RIYAMA: NIMEMPITA BABA WATOTO WANGU MIAKA 10
STAA
mkali wa filamu za Bongo, Riyama Ally amefunguka kwa kinywa chake kuwa
baba aliyezaa naye mtoto wake wa kike aitwaye Fatma, amempita takriban
miaka 10.Riyama alizungumza hayo alipokuwa akihojiwa katika kipindi
kimoja chaTV na kusema kuwa hakuna chochote kinachohusiana na umri
katika suala la mapenzi kwa sababu ingekuwa kuna tatizo basi kwa upande
wake ingekuwa shida.

0 comments: