TAZAMA KIONJO CHA VIDEO MPYA YA MWANA FA FT ALI KIBA-KIBOKO YANGU
Kama Bado Hujajiunga Nasi, Unaweza Kujiunga Hapa Nikutumie Habari Moja Kwa Moja ..Bofya HAPA ULIKE PAGE YETU!..
Umeshaisikiliza ile single mpya ya Hamisi Mwinjuma aka Mwana FA ‘Kiboko Yangu’ aliyomshirikisha Ali Kiba, sasa time hii wanakupa sekunde 15 za kutazama kionjo cha video hiyo mpya.
Video hiyo inatarajiwa kuachiwa Alhamisi ya wiki hii tarehe 15.

0 comments: