Watu wanasema eti wanawake wanene wananuka na huwa na fangasi?
Aliewaambia
wanene wananuka nani? wanaonuka ni kwa sababu hawajui kujisafisha.Kama
mwanamke hajisafishi au sio msafi kiujumla ndio ananuka na hata kupata
fungus.
Mkubali
mkatae wanaume nao wana machaguo yao, kama ni wembamba ua unene, kila
mtu ana chaguo lake...ila ziwa na tako ndio mpango mzima.
ukiwa kimbau mbau hata ukipita hustui watu.
Subirini sifa ya wanawake wembamba asanteni sana sifa kwenu wanene.
0 comments: