MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KWENDA VYUO VYA UALIMU 2014/2015
WAOMBAJI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA STASHAHADA YA JUU (MIAKA 3) MWAKA WA MASOMO 2014/2015
MAELEKEZO:
Waombaji
waliochaguliwa kujiunga na Mafunzo ya Ualimu mwaka wa masomo 2014/2015
wanatakiwa kuripoti katika Vyuo walivyopangiwa tarehe 06/10/2014. Fomu
za maelekezo (Joining Instructions) zitatolewa na chuo husika na
zitatumwa kwa waliochaguliwa tu. Waliochaguliwa wanatakiwa kufika vyuoni
wakiwa na mahitaji yaliyoainishwa kwenye fomu ya kujiunga na Chuo.
Aidha, fomu hizi zinapatikana pia kwenye Tovuti ya Wizara:www.moe.go.tz;
NACTE:www.nacte.go.tz; na TAMISEMI: www.pmoralg.go.tz
Muhimu:
1. Waombaji waliochaguliwa ni wale wenye ufaulu wa Daraja la I hadi III
2. Waliochaguliwa wanatakiwa kuwasilisha
Vyeti halisi vya Baraza la Mitihani la Tanzania Kidato cha NNE na SITA
(CSEE na ACSEE) na vyeti vya kuhitimu Elimu ya Sekondari na Mafunzo ya
Ualimu.
3. Ada ya mafunzo Stashahada ya Juu ni 600,000/= kwa mwaka (Muhula wa kwanza 300,000/= na muhula wa pili 300,000/=)
4. Wanafunzi watakaosajiliwa Chuoni ni wale
waliopo kwenye orodha hii tu na SIYO vinginevyo, waweza pata orodha hyo
kwa kufungua kiunganishi kimoja wapo hapo chini au kwa kutembelea mfumo
wenye majina - bonyeza hapa
0 comments: