MAMBO RAHISI YA KUFANYA MPENZI WAKO ASICHEPUKE


Kuna mambo machache tu rahisi ya kufanya mpenzi wako asitoke nje, zingatia haya:
  • Msikilize anachotaka, usikurupuke tu kukataa, hapo atakuona wewe ni msaada wake wa karibu sana
  • Mpe nafasi, Usimbane sana mpe muda wa kuwa na marafiki zake
  • Kuwa free na muwazi kwake itasaidia na yeye kuwa huru kwako na kukueleza hisia zake
  • Mshauri pale anapokosea usimgombezi au kumtukana, kumtukana mpenzi wako ni kosa kubwa sana
  • Mpe haki yake pale anapojisikia, nawakati mwengine usisubiri hadi ajisikie amsha hisia zake tumia mbinu zako umvute kwenye hisia za mapenzi.
  • Hakikisha unamfikisha kileleni kila mara unapofanya nae tendo la ndoa
  • Badilisha mikao tofauti wakati wa kufanya Tendo la ndoa, kwani mkao mmoja unachosha anaweza kutafuta mbinu mbadala
  • Jua sehemu zake zenye hisia, ambapo ukimgusa network zinakata
  • Wasiliana nae kila mara, ili uwe akilini mwake wakati wote asiwaze mwengine
  • Jali ndugu zake na marafiki pia, kwani hao pia wananafasi kubwa kumshauri vizuri au hata kumpotosha
  • Mtoe out mara kwa mara
Hayo ni baadhi tu ya mambo ambayo unaweza kufanya ukaweza kumteka mpenzi wako asiende nje. Ingawa wakati mwengine unaweza ukafanya hayo yore na bado ikawa bila bila, kwani wakati mwengine huwa kuchepuka ni huruka ya mtu tu, hata umpe nini bado atasaliti penzi

0 comments:

Copyright © 2013. MAPYATZBLOG - All Rights Reserved
Customized by: MAPYATZBLOG | Powered by: http://bongoswagzs.blogspot.com/
Designed by: http://bongoswagzs.blogspot.com//