MENINAH AFUNGUKA JUU YA DIAMOND KUMSUMBUA SUMBUA NA KUMTOGOZA


Habari mpya zinasema kuwa Meninah amekiri kutongozwa na Diamond Platnumz lakini bado hajamkubalia.
 
Kwa mujibu wa gazeti moja la Udaku toleo la jana, sms za Meninah akichati na rafiki yake akimwambia kuhusu kutongozwa na Diamond zilinaswa na mwandishi wa gazeti hilo.
 
Hata hivyo Meninah alisema Diamond sio type yake, hawezi kutoka nae na pia anadaiwa kumkataa Diamond sababu ya Wema Sepetu kwa madai kwamba anamheshimu Wema ambaye ndiye anayejulikana hadharani kuwa mpenzi wa Diamond.


0 comments:

Copyright © 2013. MAPYATZBLOG - All Rights Reserved
Customized by: MAPYATZBLOG | Powered by: http://bongoswagzs.blogspot.com/
Designed by: http://bongoswagzs.blogspot.com//