PATA ELIMU HII BURE ....Usiulize Maswali Haya Kwa Mpenzi Wako


Kuna watu sijui niseme ni upeo Mdogo katika mahusiano au ndio kukariri. Hawajui ata swali la kumuuliza mpenzi wake, kwa mfano mtu anakuuliza

1.Umenipenda au umenitamani? 
Nikujidanganya tu hakuna tofauti ya kupenda na kutamani.    ISOME ZAIDI>>>>>
 2. Uliwai kua na wapenzi wangapi? 
Ivi unategemea mtu atakuambia ukweli idadi ya wanawake au wanaume aliotembea nao ili iweje. ISOME ZAIDI>>>>>
 3. Umenipendea nini? 
Apa ndio nachekaga sana, apa unategwa kila utachomjibu kua nimekupenda kwa ajiri ya kitu fulan anakuuliza nikipata ajar kikikatka itakuaje. ISOME ZAIDI>>>>>
 4. Eti uliwai kuugua ugonjwa wowote WA dhinaa mpenzi? 
 Nani atakuambia ukweli kama aliwai kupata gono au pangusa. ISOME ZAIDI>>>>>
5.Bikra ilitoka Lini na alikutoa nan? 
Inakuaje mtu anataka kujua bikra ya mtu ilitoka lin ,na kunafaida gan kujua hili. ISOME ZAIDI>>>>>

Na wewe weka swali LA kizushi uliloulizwa na mpenzi wako.
ISOME ZAIDI>>>>>

0 comments:

Copyright © 2013. MAPYATZBLOG - All Rights Reserved
Customized by: MAPYATZBLOG | Powered by: http://bongoswagzs.blogspot.com/
Designed by: http://bongoswagzs.blogspot.com//