WOLPER AFATA NYAYO ZA WEMA ,SASA AAMUA KUNYOA NYWELE.JE KAPENDEZA AU KAWA KAMA KINYAGO?


wolper1 bongoclan.co.tz

bongoclan tanzania

Wolper katika pozi
Kwa wale wenzangu na mimi ambao mpo Instagram mtakubaliana na mimi kua Jackline Wolper ni mmoja kati ya wasanii wachache wa kike wanaoongoza kwa kupiga pamba. Baada ya watu kumzoea akiwa na nywele ndefu jana Wolper ametupia picha za mwonekano wake mpya akiwa kanyoa nywele zake na kubakiza zikiwa fupi.
Wengi wa waliotoa maoni kuhusu mwonekano wake huo mpya walimpongeza kua kapendeza je wewe ukiwa kama msomaji wa website yetu una maoni gani???? Tazama picha hizi hapa chini…
bongoclan tanzania wolper bongoclan.co.tz wolper3 bongoclan.co.tz

0 comments:

Copyright © 2013. MAPYATZBLOG - All Rights Reserved
Customized by: MAPYATZBLOG | Powered by: http://bongoswagzs.blogspot.com/
Designed by: http://bongoswagzs.blogspot.com//