NOOOOOMA SANAAAA......MADAHA, ISABELA WAFANYA UFUSKA!
Isabela Mpanda ‘Bella’ na Baby Madaha wakishikana kimahaba.
HAMNAZO? Mastaa
wa Bongo Fleva, Isabela Mpanda ‘Bella’ na Baby Madaha wamenaswa
wakifanya vitendo vichafu maeneo ya Tabata jijini Dar baada ya kupiga
masanga ya kutosha mwilini.
Kwa mujibu wa chanzo, Baby na Bella walifika maeneo hayo juzikati wakiwa
wazima kabisa lakini baada ya kufakamia pombe kwa kasi ndipo walipoanza
kufanya madudu huku mchumba wa Bella, Luteni Kalama, akiwakimbia na
kuwaacha wenyewe.
“Walianza kushikanashikana kama wanasagana, wakapakatana huku wakiwa na
chupa za pombe wakicheza kwa hisia za kimahaba kama mtu na mtuwe, yani
Kalama anatakiwa ajiongeze vinginevyo mkewe mtarajiwa ataharibikiwa,”
kilisema chanzo.
Baada ya paparazi wetu kunasa picha tukio hilo kutoka kwa sosi,
aliwavutia waya wawili hao kwa nyakati tofauti ambapo walisema hawaoni
tatizo katika mambo hayo waliyoyafanya.“Tulikunywa pombe zetu na
hatukuwa na tatizo na mtu yeyote kuna shida gani? Hakuna vitendo vibaya
tulivyofanya kwa sababu hatukugombana na tulikuwa tuko na amani na raha
zetu,” alisema Baby huku Bella naye akitoa maneno yanayofanana kabisa
na hayo ya Baby.
0 comments: