MFANYAKAZI WA NDANI UGANDA AFUNGWA MIAKA MINNE JELA..!!
Mahakama nchini Uganda imetoa hukumu ya miaka minne jela kwa
mfanyakazi wa ndani, Jolly Tumuhiirwe, aliyepatikana na hatia ya kumtesa
na kumpiga motto wa miezi 18.

Tumuhiirwe, 22, alionekana kwenye video iliyosambaa mtandaoni akimpiga bila huruma mtoto huyo aitwaye Aneela.
Msichana huyo aliwaomba radhi wazazi wa mtoto huyo na umma kwa ujumla na kudai kuwa hakujua nini kilimtokea hadi kutenda unyama huo.
Chanzo: New Vision Uganda

0 comments: