MWAKYEMBE AFUKUZA KAZI WATUMISHI 6 WA TRL


Waziri wa Uchukuzi Dkt. Harrison Mwakyembe amewafukuza kazi wafanyakazi 6 wa Shirika la Reli (TRL ) kwa makosa ya wizi wa fedha za umma pamoja na udanganyifu katika uuzaji wa tiketi za abiria na ameamuru wakamatwe na kufunguliwa mashitaka ya makosa ya jinai.

0 comments:

Copyright © 2013. MAPYATZBLOG - All Rights Reserved
Customized by: MAPYATZBLOG | Powered by: http://bongoswagzs.blogspot.com/
Designed by: http://bongoswagzs.blogspot.com//