HII KALI TOKA KWA FAIZA::Hata Baada ya Kuzaa Naona Bado Nina Mvuto! Kudadadeki


Mwigizaji wa filamu alietoa kali ya  mwaka jana kwa kuvaa  Diaper  wavaayo watoto kuhifadhi haja zao maarufu kama ‘pempasi’ kwenye kusherekea siku yake ya kuzaliwa, Faiza Ally leo ameibuka  na picha akiwa ufukweni amevalia vinguo vya kuogelea huku pembeni akiwa na mtoto wake nakudai kuwa bado ana mvuto hata baada ya kuzaa mtoto.

              1.PICHA TAMU

           

 2.PICHA TAMU

 

 3.PICHA TAMU

 




“Hata baada ya kuzaa naona niko sexy ile mbaya kudadadeki!!!!” Faiza aliandika


Haya hebu jionee na umwambie kitu mama huyu mwenye mvuto.

Chanzo:Bongomovies

0 comments:

Copyright © 2013. MAPYATZBLOG - All Rights Reserved
Customized by: MAPYATZBLOG | Powered by: http://bongoswagzs.blogspot.com/
Designed by: http://bongoswagzs.blogspot.com//