MIAKA 51 YA MAPINDUZI: KUANZIA MWAKA HUU ELIMU BURE KUANZIA AWALI MPAKA SEKONDARI -ZANZIBAR
Rais
Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein amewaongoza Wananchi wa Zanzibar katika
maandhimisho ya Miaka 51 ya Mapinduzi na kutangaza kuwa kuanzia mwaka
huu, Elimu ya Awali na Msingi itatolewa bure kwa kuwa serikali
itagharamia gharama zote na pia kwa Elimu ya Sekondari, serikali
itagharamia ada ya mitihani ya kuhitimu kidato cha 4 na kidato cha 6.
0 comments: