Breaking News: Mwimbaji Chid Benz Akamatwa na Madawa ya Kulevya Airport
Kuna Taarifa kuwa Msanii Chid Benzi amekamatwa na
Madawa ya kulevya Airport Dar es Salaam ambapo alikuwa anaelekea Mbeya
Kufanya Show ya Instagram..Amekamatwa na Kete Kumi na nne za madawa ya
kulevya , pia na Bangi Misokoto miwili ambazo zilikuwa katika mfuko wake
wa Shati .Chid alikuwa ameongoza na Mwanamuziki Sheta ambae yeye aliruhusiwa kuendelea na safari
Baada ya kuhojiwa inasemekana Chid Alijitetea kwa kusema ni kwa ajili ya matumizi yake Binafsi , Chid kwa sasa anashikiliwa na polisi kwa mahojiano zaidi
0 comments: