DK. CHENI NA KASHFA: RUSHWA YA NGONO WANAITAKA WENYEWE!
Staa wa filamu za Kibongo, Muhsein Awadhi
‘Dk. Cheni’ amekanusha tabia ya wasanii wakubwa kuwaomba rushwa ya ngono
wasanii chipukizi na kudai wanaziendekeza wao wenyewe.
“Sizani kama ni rushwa ya ngono, naamini wengi wanakubaliana, sehemu ya watu wengi mnapokutana inatokea watu kupendana na kuwa wapenzi hilo nakubali sababu ni jambo la kawaida hata wasanii kwa wasanii kupendana, sidhani kama mtu anaweza kulazimishwa kufanya mapenzi ili acheze filamu, mpaka watu kufanya tendo hilo wameshakubaliana,” alisema Dk. Cheni.
Staa wa filamu za Kibongo, Muhsein Awadhi ‘Dk. Cheni’.
Akipiga stori na paparazi wetu, Dk. Cheni alisema yeye hajawahi
kumuomba msanii rushwa ya ngono, isipokuwa anaamini walio wengi
huanzisha mahusiano yaliyo rasmi kwa makubaliano yao kutokana na hisia
zinavyowasukuma.“Sizani kama ni rushwa ya ngono, naamini wengi wanakubaliana, sehemu ya watu wengi mnapokutana inatokea watu kupendana na kuwa wapenzi hilo nakubali sababu ni jambo la kawaida hata wasanii kwa wasanii kupendana, sidhani kama mtu anaweza kulazimishwa kufanya mapenzi ili acheze filamu, mpaka watu kufanya tendo hilo wameshakubaliana,” alisema Dk. Cheni.
0 comments: