MKE ALIA NA ROSE MUHANDO KUMUHARIBIA NDOA
BOFYA "LIKE" KUUNGANA NASI
MWANAMKE mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Flavian
Elias ameibuka na kumlalamikia mwimba Injili ‘grade one Bongo’, Rose
Muhando kwamba amemuharibia ndoa yake na mumewe aliyemtaja kwa jina moja
la Daudi au ‘Rungu la Yesu’ kisa kikiwa ni pesa na dalili za wivu wa
mapenzi.
KISA KILIPOANZIA
Akizungumza kwa uchungu na gazeti hili nyumbani kwake Boko, Dar, Flavian alisema yeye na mumewe walidunduliza pesa hadi kufikisha shilingi 1,000,000 kwa ajili ya kumalizia ujenzi wa nyumba ya familia.
Alisema wakiwa kwenye harakati hizo, siku moja mumewe aliporudi nyumbani alimwambia Rose ana shida hivyo anaomba akopeshwe shilingi milioni moja, angeirejesha baada ya siku saba.
“Kwa kuwa mume wangu anafanya kazi na Rose (msemaji wa Rose), nilimkubalia nikiamini kwamba fedha hiyo ingerudishwa.
“Baada ya wiki moja kupita, mambo yakawa tofauti, pesa haikurudi na mpaka ninavyozungumza na nyinyi bado haijarudi.”
ROSE HAPOKEI SIMU
“Ili kuipata pesa yangu niliamua kumpigia simu, ikawa ahadi tu, mara leo mara kesho na siku nyingine aliniambia yupo nchini Sudan ya Kusini.
“Sasa hali imekuwa tofauti, nikimpigia hapokei simu yangu tena.”
MAISHA YAWA MAGUMU
“Maisha yangu yamekuwa magumu, vifaa vyote vya ujenzi nimeshanunua, vipo ndani hiyo shilingi milioni moja ilikuwa ni kwa ajili ya fundi na kununua mbao za kupaulia.
“Na kwa sababu mume wangu ndiye anajuana na huyo Rose, nimemwambia asirudi nyumbani hadi aniletee hiyo fedha.
“Rose amenivurugia ndoa yangu, naishi na watoto wangu na ni muda mrefu, mume wangu anaishi huko Mbezi-Mwisho (Dar) maana mimi sitaki mchezo kabisa,” alisema Flavian, mama wa watoto wanne, wakiwemo mapacha.
DAUDI ANASEMAJE?
Baada ya madai hayo, waandishi wetu walimtafuta Daudi ili kumsikia anasemaje kuhusu madai ya mkewe.
“Kiukweli kabisa sikujua kama Rose angenifanyia hivi maana nilimwamini sana, nafanya naye kazi nyingi na hiyo fedha alikwenda nayo kwenye mkutano Nairobi (Kenya).
“Kutokana na hali hiyo niliamua kuikimbia nyumba yangu, maana mke wangu najua anahisi mimi simdai Rose labda ni mpenzi wangu, lakini sivyo.”
“Kilichonikimbiza nyumbani ni kelele za kila siku kutoka kwa mke wangu, nina miezi mitatu sijafika, naumia sana na sijui itakuwaje. Kila nikimpigia simu Rose ananizungusha tu, daa!”
ALIMPAJE ROSE FEDHA HIZO?
Daudi alipoulizwa namna alivyomkabidhi pesa hizo Rose, alijibu: “Rose alikuwa na ishu kubwa Kenya hivyo alimtuma ndugu yake aje Mbezi, nikamkabidhi pesa hiyo mikononi bila kuandikishana popote kwani nilimwamini kwa kuwa wote sisi ni watumishi wa Mungu.”
ROSE: SUBIRI DAKIKA MOJA
Ili kupata mzani wa habari hiyo, gazeti hili lilimtafuta Rose aeleze ukweli juu ya sakata hilo ambapo alipopigiwa simu na kuelezwa mkasa mzima alimwambia mwandishi wetu asubiri dakika moja.
Hata hivyo, baada ya dakika kumi alipigiwa tena lakini akawa anapokea bila kuongea.
Baadaye, alitumiwa ujumbe mfupi wa maneno (SMS) wenye madai yote ili kama alikuwa sehemu mbaya kuongea ajibu kwa njia hiyo lakini hakufanya hivyo.
MWENYE USHAHIDI AJITOKEZE
Kutokana na Rose kuwa na madai mengi ya kuingia mitini na fedha za watu, waandishi wetu walimtafuta Katibu wa Chama cha Muziki wa Injili Tanzania, Stella Joel ili kutoa ufafanuzi wa nini wamepanga kukifanya juu yake.
“Tumekuwa tukisikia tu, hatujapata ushahidi, tukisikia amepelekwa polisi au mahakamani tutatoa tamko lakini kwa sasa hatuwezi kwa sababu mwenyewe huwa anasema anazushiwa, mambo ya Rose ni makubwa kwa kweli.”
KUNA TATIZO?
Hivi karibuni Rose alidaiwa kuingia mitini na shilingi milioni moja alizopewa kwa ajili ya kutumbuiza kwenye uzinduzi wa albamu ya mwimba Injili, John Lissu uliofanyika ndani ya Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar.
Kama hiyo haitoshi, Jumapili iliyopita, Rose tena alidaiwa kuingia mitini na shilingi milioni mbili za watu alizolipwa ili kushiriki tamasha moja lililofanyika ndani ya Ukumbi wa Land Mark Hotel, Ubungo, Dar.

Nitajaribu kufafanua kadiri niwezavyo ili nieleweke.
1. Unapokuwa umetembelewa na mwanamke/msichana chumbani kwako kisha anakuambia funga pazia chumba kiwe giza sipendelei mwanga, unafanya hivyo kisha unakuwa kama zimwi ujauelewa ujumbe wake hapo. My broad wewe ni bonafide dumb
2. Pindi akikuambia anajisikia baridi kisha unazima AC unawasha fan. My broad wewe ni bigwa wa kutoelewa ujumbe.
3. Pindi mkiwa mnatazama movie nzuri kisha anakuambia ainjoy then unamuambia muangalie movie nyingine anakuambia HAPANA… kama utakuwa bado ujampata ujumbe wake wewe ni boya katila level ya Master’s
4. Kama atakuambia ataondoka muda siyo mrefu akawa anakukumbusha kila baada ya dakika kadhaa kupita ukawa ujaelewa ujumbe wake. Wewe ni boya katika level ya PHD

Repoti kutoka INSTAGRAM, by Bikila_wa_Kisukuma.
DIAMOND ANA MAKOSA 3 MAKUBWA ALIYOTUTENDEA WATANZANIA: 1.Kosa la kwanza ni KUWA NA BIDII KWENYE MUZIKI WAKE...Hili ni kosa kubwa sana kwa Watanzania..Hakupaswa kuwa na bidii hivi..Angekuwa tu wa KAWAIDA kama wenzake waliopita ili AFULIE awaachie na wengine waje kwenye chati arudi Tandale kuuza Wali.. 2.Kosa la 2 ni KUJITAMBUA YEYE NI NANI..Kwanini ajitambue wakati wenzie wenye majina walishindwa??Kwani yeye nani awe tofauti??Hii ni DHARAU KUBWA sana kwa Watanzania na Wanamuziki wenzie na inaonyesha ana KIBURI..Diamond kujua yeye ni Mwanamuziki mahiri na kutumia VALUE yake aliyoipata kwa mbinde kuiletea sifa Tanzania nje ya Mipaka ni KOSA KUBWA! 3.Kosa lake la 3 ni KUUHESHIMU MNO MUZIKI UNAOMPA HELA...Kwanini asiwe kama wakina Mr nanihii tu,kwani wao hawakuhit kama yeye?Mbona waliishi kawaida tu na kuuchukulia muziki poa hadi walipofulia na leo hata wakiingia Masai Club nobody cares..Kwani kufulia kitu gani?Diamond hakupaswa kuuheshimu Muziki kama kazi..Angefanya bora liende tu aimbe imbe yaishe..Sasa kujifanya Anatoa Collabo mara Davido mara Mafikizolo mara Trey Songs na K'Cee na Yemi Alade AMETUMWA NA NANI??Huku ni kutafuta sifa tu alipaswa awe mdogo milele awaachie na wenzie.. Kwa makosa haya ma3 WATANZANIA wameamua kumuadhibu..Diamond Anaringa...Ana dharau sana..Anaupenda sana Muziki uliompa JINA..HESHIMA..PESA..na ametafutiwa REPLACEMENT kwa sababu tu ANAHESHIMU MUZIKI KAMA KAZI na sio JUST SINGING FOR FAME...Watanzania tumeamua kuadhibu MTU ANAYEHESHIMU KAZI YAKE iliyomtoa from Zero to Hero na tutamshusha kwa lazima taji apewe mwingine..Watanzania tunataka Diamond awe another Mr Nice ili tupate kitu cha KUCOMPARE...Shida yetu kuu wala sio dharau ila ni KWANINI DAI HASHUKI???? Hardwork Pays! Respect Pays! Knowing Your Value Pays! Kama alimpandisha MUNGU...Hakuna wa kumtoa pale... Nasibu..wakomeshe..Toa ule wimbo na MAFIKIZOLO wiki ijayo tuone kama watazomea Spika za redio zao... Nalala zangu MDOGO MDOGO...
0 comments: