AJALI DAR! GARI LATEKETEA KWA MOTO MAENEO YA MAKUMBUSHO!



 Gari dogo aina ya Toyota Mark ii lenye namba za usajili T 601 AHG, likiteketea kwa moto eneo la Makumbusho Usalama kama lilivyonaswa na kamera jana jioni. Chanzo cha ajali hiyo hakikuweza kufahamika mapema. 

Gari hilo likiendelea kuteketea kwa moto.


Kama kawaida ya wabongo wasiokuwa wanahabari rasmi wakinasa matukio ili kusambaza katika mitandao.

Foleni ya magari katika eneo hilo kila dereva akijaribu kushangaa huku moto ukizidi kuliteketeza gari dogo aina ya Toyota Mark ii lenye namba za usajili T 601 AHG eneo la Makumbusho

Raia wakishuhudia tukio hilo wakati gari dogo aina ya Toyota Mark ii lenye namba za usajili T 601 AHG, likiteketea kwa moto.

0 comments:

Copyright © 2013. MAPYATZBLOG - All Rights Reserved
Customized by: MAPYATZBLOG | Powered by: http://bongoswagzs.blogspot.com/
Designed by: http://bongoswagzs.blogspot.com//