Martin Kadinda Anunua Gari Mpya Baada ya Kumzawadia wema Sepetu Gari ya Bei Kubwa iliyoleta Utata
Baada ya
Martin Kadinda Kumzawadia Gari ya Gharama Wema Sepetu siku ya Sherehe ya
kuzaliwa kwake iliyoleta utata naye ameamua kununua gari kali aina ya
Primera Kuwakata Watu Midomo walio shangaa kwa yeye Kumpa mtu zawadi ya
gari ya gharama wakati yeye hana ...
Jionee Picha hapo chini na Ujumbe aliondika kwenda kwa mashabiki wake:
0 comments: