ALICHOKIANDIKA WEMA SEPETU KUFUATIA DIAMOND KUITOA KIMASOMASO TANZANIA!
It’s official, Diamond
na Wema Sepetu hawapo pamoja tena. Habari hiyo imekuja katika siku
ambayp Diamond amegeuka shujaa kwa kunyakua tuzo za tatu za Channel O.
Miongoni mwa watu waliompongeza kwa ushindi huo ni Wema Sepetu ambaye
tumezoea akimuita staa huyo ‘my baby’,
awamu hii ameitwa
‘kaka’.“Gnyt Instagramers… And Hongera tele ziende kwa kaka platnumz… I
must say he did Tanzania proud,” aliandika Wema kwenye Instagram muda
mfupi baada ya tuzo hizo kuisha ikimaanisha kuwa alikuwa akizifuatilia.
0 comments: