DIAMOND PLATNUMZ ATUA DAR, APATA MAPOKEZI YA KUTISHA
Diamond baada ya kutua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar.
MWANAMUZIKI
Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' ametua nchini muda huu akitokea Afrika
Kusini alipokwenda kushiriki zoezi la utoaji tuzo za Channel O ambapo
alijinyakulia tuzo tatu kwa mpigo. Tuzo alizonyakua staa huyo ni pamoja
na Most Gifted New Comer, Most Gifted Afropop na Most Gifted East
kupitia wimbo wake wa Number One.
0 comments: