USHAHIDI WA PICHA ZA TUMBO LAKE......BAADA YA KUAMBIWA ANAUJAUZITO, HII NDIYO PICHA ALIYO POST AUNT EZEKIEL NA KUANDIKA HAYA

Baada ya wengi kuongea na baadhi ya vyombo vya habari zikiwemo na blogs kuandika kuwa Aunt Ezekiel anaujauzito na hadi kufikia kudhaniwa ni nje ya ndoa pamoja na mmoja wa wanenguaji wa msanii Diamond Platnumz kuhisiwa anahusika, Masaa 24 yaliyo pita kupitia account yake ya instagram Aunt Ezekiel ameandika haya.
Lazima ujue Kutofautisha kati ya Kitambi na Mimba Sasa hiki Chagueni wenyewe ni KITAMBI AU MIMBA!!!!!legoooooooooo....1. BOFYA KUONA PICHA YENYEWE>>>

0 comments:

Copyright © 2013. MAPYATZBLOG - All Rights Reserved
Customized by: MAPYATZBLOG | Powered by: http://bongoswagzs.blogspot.com/
Designed by: http://bongoswagzs.blogspot.com//