NOOOOMAAAA SANAAA..."Najisikia Raha Kukaa Uchi Niwapo na Mpenzi wangu"....Jokate
Modo ambaye pia anafanya muziki na ujasiriamali, Jokate Mwegelo amefunguka kuwa, awapo chumbani na mpenzi wake huwa anasikia raha kutovaa chochote.
Akizungumzia
maisha yake ya kimapenzi, Jokate alisema haoni aibu kusema akiwa
faragha na mpenzi wake hapendelei kuvaa kitu kwani ni eneo la
kujiachia.
“Kwa kweli nikiwa chumbani na mpenzi wangu sipendi kuvaa kitu kabisa,” alisema Jokate kwa kifupi.
0 comments: