BREAKING NEWS: LORI LA MAFUTA LAPATA AJALI MBAYA TANGA NA KUWAKA MOTO.. MOSHI MZITO WATANDA ANGANI
Lori la mafuta likiteketea kwa moto mara baada ya kugonga nguzo ya umeme huko Handeni mkoani Tanga leo.
Wananchi wakishuhudia moto mkubwa uliozuka katika ajali hiyo.
0 comments: