CHEZEA ELIZABERTH MICHAEL (LULU) WEWE ''LAZIMA UJUE KUTOFAUTISHA KATI YA FASHION NA STYLE
Mbali na mambo yote, hakuna anebisha
kuwa muigizaji Elizabeth Michel “Lulu” ni mrembo na mara zote hakosei
katika mitoko yake hasa linapokuja swala maswala ya mitindo katika
uvaaji na muonekano kwa ujumla. Nadhani kwa hilo hakuna ubishi kuwa Lulu
yuko vizuri.
Leo kupitia ukurasa wake kwenye mtandao
wa instagram Lulu ameamua kutoa elimu kidogo kuhusu kutofautisha kati ya
Fashion na Style
Aliandika;
0 comments: