DIAMOND LAWAMANI MOMBASA, ADAIWA KUWAFUKUZA NYOTA NDOGO NA WASANII WENGINE KWENYE VIP LOUNGE

Mashabiki wa kike wa Mombasa wakimsonga Diamond kwenye show yake mjini humo weekend iliyopita
Kunyanyashwa
kwa wasanii wa Kenya, kumemfanya Diamond na waandaji wa show yake ya
Mombasa weekend iliyopita kutupiwa lawama na wapenzi wa muziki nchini
humo.
Mtandao wa Standard Media wa Kenya,
umeandika kuwa kwenye show hiyo iliyohudhuriwa na watu kibao, Diamond
alitaka wasanii wengine wote waliokuwa watumbuize kwenye show hiyo na
waliokuwa wamepangiwa kukaa naye kwenye VIP lounge, wakiwemo Susumila na
Nyota Ndogo waondelewe.SOMA ZAIDI>>>
0 comments: