HAYAA HABARI NJEMAA ...Watumiaji wa WhatsApp kuanza kupiga na kupokea simu kwakutumia mtandao huo


WhatsApp inajipanga kuongeza upigaji na upokeaji simu (voice calls) kwenye app yake kwa mara ya kwanza.

Watumiaji wa app hiyo wataweza kupiga simu kwa watu walionao kwenye contacts vile vile kama wanavyoweza kuwatumia ujumbe.

Mtandao wa Uholanzi, AndroidWorld umeweka screenshots za majaribio ya huduma hiyo.

0 comments:

Copyright © 2013. MAPYATZBLOG - All Rights Reserved
Customized by: MAPYATZBLOG | Powered by: http://bongoswagzs.blogspot.com/
Designed by: http://bongoswagzs.blogspot.com//