PENNY: DIAMOND HANA UWEZO WA KUMPA MWANAMKE MIMBA
Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa na Penny.
Akizungumza na GlobalTV hivi karibuni, Diamond alifunguka: “Nilimpa (Penny) mimba ya kwanza, sikuamini ikabidi twende naye hospitalini tukapime, akaambiwa anayo…nikafurahi nikampiga na ndinga (gari) mpya siku hiyohiyo, nikamwambia mama tulia unizalie mwanangu.

“Sikukaa
sana akaniletea maneno…oooh mara hivi mara vile…eti imetoka. Nikasema
poa, labda haikuwa riziki. Nikampa ya pili, nayo pia akatoa. Nikasema
bora niachane naye na huo ndiyo ukawa mwisho wa mimi na Penny.”
KILICHOFUATA
Penny alijibu mapigo na kudai kwamba ni kweli staa huyo alikuwa akimridhisha kimapenzi lakini hakuwa na uwezo wa kumpachika mimba kama alivyodai.“Diamond ni mwanaume kama wanaume wengine lakini hana uwezo wa kumpa mwanamke mimba, muulizeni vizuri tatizo ni nini,” alisema Penny.

DIAMOND ANASEMAJE?
Alipofikishiwa taarifa hizo, Diamond hakutaka kufunguka kwa madai kwamba kuna vitu huwa hataki kuvisema kwa kuwa ni mtoto wa kiume na huwa anahifadhi siri nyingi za wanawake.

DIAMOND ANA TATIZO?
Kwa mujibu wa Penny ni kwamba alikuwa akimridhisha vizuri kimapenzi hivyo hana tatizo la nguvu za kiume isipokuwa hawezi kumpa mwanamke kibendi.

KITAALAM ZAIDI
Akizungumzia tatizo la Diamond (kama maelezo ya Penny ni kweli), mtaalam wa masula ya tiba ya uzazi alisema kuwa mwanaume anaweza kumridhisha vizuri mwanamke wanapokuwa kitandani isipokuwa akashindwa kumpa ujauzito.

“Tatizo
la kutopata ujauzito, maana yake mume na mke walio katika uhusiano wa
kutafuta mtoto ndani ya mwaka mmoja, lakini wameshindwa.“Inaweza ikawa
zaidi ya mwaka mmoja lakini wastani wa kiwango cha chini ni mwaka
mmoja.“Ni tatizo kubwa katika jamii kwani kila mmoja anataka afikie
malengo ya kuwa na familia kama anavyotaka Diamond.“Mwanamke na mwanaume
wote wanahusika katika tatizo hili japo mara nyingi huonekana ni la
mwanamke.
0 comments: