PATCHO MWAMBA KUWABURUZA MAHAKAMANI WALIOMZUSHIA KUFUMANIWA





Msanii maarufu wa muziki wa Dansi na ambaye pia muigizaji wa bongo movie Patcho Mwamba ametangaza kuwa ataenda sambamba na wote waliomzushia kufumaniwa na kufanyiwa kitu mbaya, kwa mujibu wa Patcho anadai uvumi huo umekuja baada ya yeye kupost picha ikimwonyesha akiwa amevimba uso kutokana na alergy aliyoipata weekend iliyopita baada ya kunywa Pombe flani. Patcho amesema anawajua wote waliozusha taarifa hizo na yuko kwenye mpango wa kuwafikisha kwenye vyombo vya dola.




Unamshauri nini msanii huyu?



VIDEO HII HAPA AKIJIELEZAA>>>>>>


0 comments:

Copyright © 2013. MAPYATZBLOG - All Rights Reserved
Customized by: MAPYATZBLOG | Powered by: http://bongoswagzs.blogspot.com/
Designed by: http://bongoswagzs.blogspot.com//