SOMA HII UJIFUNZEEE ....Madhara ya kuoa mke mwenye umbo zuri na sura nzuri


Ukitaka maisha ya stress na mshtuko jaribu kuowa wanawake wazuri au macelebrity, utajuta maana tatizo sio wao ila wanasumbuliwa sana na kila mwanaume anawatamani. na hata huku kutongozwa wanaotongoza wanakuwa wamepani kuwa bora wafilisike lakini wafanikiwe kumlala.

Hivyo nashauri uowe wa kawaida tu ambaye hasumbui sana macho ya watu wala haangaliw mara kumi kumi.

Ni mtazamo au mnasemaje wadau

0 comments:

Copyright © 2013. MAPYATZBLOG - All Rights Reserved
Customized by: MAPYATZBLOG | Powered by: http://bongoswagzs.blogspot.com/
Designed by: http://bongoswagzs.blogspot.com//