WASANII WACHANGISHANA PESA ZA MAZISHI YA AISHA MADINDA..MTOTO WA MAREHEMU ATIA HURUMA !
STAA
wa filamu za Kibongo, Steve Nyerere baada ya kupokea habari za msiba
aliungana na wanamuziki wa African Stars na kuchangisha michango
mbalimbali kwa ajili ya kumsitiri marehemu walipokuwa katika hospitali
ya wilaya Mwananyamala.
Marehemu Aisha Madinda atazikwa siku ya kesho Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Marehemu Aisha Madinda atazikwa siku ya kesho Kigamboni jijini Dar es Salaam.
0 comments: