Zari ampokea Diamond Kampala kwa mbwembwe zote...jionee hapa!

10831760_1518195745097755_183207238_n

Zari baada ya kumpokea Diamond

Diamond Platnumz ametua Kampala jijini Uganda tayari kwaajili ya kutumbuiza Alhamis hii kwenye show ya Zari All White Ciroc Party‬ jijini humo. Diamond alipokelewa kwenye uwanja wa ndege na mpenzi wake Zari Ttale aka The Bosslady.

10853050_609935065778956_1732448788_n
Wawili hao wamekutana kwa mara nyingine baada ya hivi karibuni kuwa pamoja kwenye tuzo za Channel O.

0 comments:

Copyright © 2013. MAPYATZBLOG - All Rights Reserved
Customized by: MAPYATZBLOG | Powered by: http://bongoswagzs.blogspot.com/
Designed by: http://bongoswagzs.blogspot.com//