KIPA MPYA WA MAN UNITED, VICTOR VALDES ALIYEINGIA MKATABA WA MIEZI 18
AMEANZA KAZI RAMI NA TIMU YAKE HIYO MPYA BAADA YA KUWA AMETAMBA NA
BARCELONA KWA KIPINDI KIREFU. PAMOJA NA VALDEZ, KIUNGO DALEY BLIND NAYE
AMEREJEA MAZOEZINI NA KUUNGANA NA WENZAKE BAADA YA KUWA MAJERUHI KWA
ZAIDI YA WIKI MOJA.
0 comments: