MWANAMKE HII INAKUHUSU KAMA MWANAMME WAKO NI RIJALI LAZIMA AFANYE HAYAA HAPAA..
Hakuna mwanaume riijali anayeweza kuwa na mwanamke mmoja, eidha awe ameoa au hata kama hajaoa. Hakuna mwanaume wa aina hiyo Karne hii, usijidanganye kukimbilia kwenye ndoa ukiamini kwamba baada ya kuolewa utajimilikisha huyo mwanaume aliyekuoa, never.
"Mchele mmoja mapishi mbalimbali", utakuta wewe mwanamke kila siku ukikutana na jamaa yako faragha lazima yeye ndio aombe kamchezo, wakati kuna sehemu akienda mwanamke mwenzako ndio anaandaa mazingira ya kuomba kamchezo kutoka kwa jamaa, now u see the difference.
Mara zote mkitoka lazima wewe ndio uwe ume suggest mtoke tena yeye ndio ana pay bills, wakati kuna mwanamke mwenzio some where ingawa sio mara zote, ila mara chache chache yeye ndio anamuomba jamaa watoke na ndio ana pay bills, umeona.
Humshauri jamaa hata kununua an asset, wewe ni kuvaa na kujirusha wkt kuna mwanamke mwenzako kashatafuta kiwanja kwa siri huku mkononi ana angalau robo amount ya gharama nzima ya kiwanja, upo hapo.
Kwa mliooana, mumeo karudi Home, hata kabla hujampokea ni makelele mtindo mmoja, unaleta mere allegations kwamba anakusaliti wakati hujathibitisha, yani wivu yako tu yanakuwehusha, wakati kuna mwanamke mwenzio jamaa akienda kwake anapokelewa kwa utulivu, anaenda kuogeshwa tena kwa maji yenye iliki, anakula chakula tena kile anachokipenda, anakandwa apunguze uchovu then anapumzishwa, unaona hapo.
Dada zangu yani hakuna mwanaume anayeweza kuwa na mwanamke mmoja sababu hawezi kuwa na vyote ambavyo wanaume tunavihitaji. Sisemi michepuko iendelee ila hiyo ndio hali halisi, angalau mjitahidi kuwa mnasoma alama za nyakati ili angalau apunguze michepuko ila sio aache kabisa.