HAPANA CHEZEA MAPENZI: MTOTO MZURI SABBY ANGEL AMFUNIKA MKE WA BOB JUNIOR KWA MAHABA!
MSANII anayechipukia kwa kasi katika anga la filamu Bongo, Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ amefunguka kuwa kwa kipindi kifupi ambacho amezama kwenye penzi la staa wa Bongo Fleva, Raheem Rummy Nanji ‘Bob Junior’, amempa mahaba mazito kiasi cha kumfanya asimkumbuke aliyekuwa mkewe.
0 comments: