TENDO LA NDOA KWA WANAWAKE WENGI NI TIBA YA SARATANI
Kulala
na wanawake wengi kunapunguza hatari ya kupatikana na ugonjwa wa
saratani ya kibofu cha mkojo,kulingana na utafiti.Katika utafiti
uliochapishwa katika jarida la saratani,Watafiti kutoka chuo kikuu cha
Montreal wamebaini kwamba ikilinganishwa na wanaume walio na mpenzi
mmoja katika maisha yao yote, kulala na zaidi ya wanawake 20 kunapunguza
uwezekano wa kupatikana na ugonjwa huo kwa asilimia 28
.
Wanaume
3,208 walishiriki katika utafiti huo ambapo kati yao Wanaume 1,590
walipatikana na ugonjwa huo kati ya Septemba mwaka 2005 na Agosti mwaka
2009.
Kwa
jumla watafiti hao walibaini kwamba wanaume wenye saratani ya kibofu
cha mkojo kuna uwezekano mara mbili kwa wao kuwa na watu wa familia zao
wenye saratani
0 comments: