HATIMAYE JOKATE KIDOTI AFUNGUKA KUHUSU KUBANJUKA NA MILLARD AYO!
Mtoto mzuri mwenye taito kubwa katika anga la mitindo Bongo, Jokate
Mwegelo akipozi kimahaba na mtangazaji Millard Ayo wa Clouds FM. Uvumi
huo ulianzia mitandaoni ambapo mwanahabari wetu alipomtafuta Jokate
juzikati, aliweka plain ukaribu wake na Millard ambaye ni mtangazaji
mwenye mvuto mkubwa kwa jamii.
“Millard ni mshkaji, namkubali kutokana na uchapakazi wake, anajua
kujituma na ni mpambanaji lakini nje ya hapo hakuna cha zaidi,” alisema
Jokate.
0 comments: