Jeshi
la Polisi Mkoa wa Dodoma
inawashikilia wanafunzi kadhaa wa chuo Kikuu UDOM kwa tuhuma za
kuhamasisha uvunifu
wa amani Chuoni na kufanya maandamano haramu kutoka Chuoni kuelekea
katika
Ofisi mbalimbali za viongozi wa Serikali zilizopo Dodoma kutokana na
vurugu hizo zilisababisha baadhi ya wanafunzi kupata majeraha mbali
mbali kutokana na kukwepa vyombo vya dola na kukimbilia hovyo hovyo na
kupelekea kijana huyo pichani ambaye hatukuweza kupata jina lake
kuvunjika mguu |
0 comments: